HATUA ZA KUF UATA KUEPUSHA MSONGO WA MAWAZO BAADA YA KUACHANA/KUACHWA

 

  1. Kuachika au kuisha kwa mahusiano kunaweza kuwa moja kati ya vitu vinavyoshtua moyo na hata kuvuluga mfumo wa maisha ya kila siku, Asikudanganye mtu kuwa kuachwa ni kitu jambo baya kwakua huja bila kutarajia na ni kwa pande zote kwa wanaume na wanawake na huwa lina umiza sana moyo na kufanya ujihisi kama mtu asiye takiwa duniani


    ''UTAFITI WA KISAYANSI UNAONESHA KUWA WANAUME HUWA WANATUMIA MUDA MREFU ZAIDI KUONDOKANA NA MAUMIVU YA KUVUNJIKAKWA MAPENZI AU UHUSIANO''

    1. TAMBUA KUWA JAMBO HILO LINAHITAJI MUDA

    Maumivu ya kumpoteza mtu ambaye unampenda na ulikuwa unatumia nae muda mwingi pamoja wananchukua muda mrefu zaidi kuisha kwakua mazoea ya kuwa nae karibu ndio yatakayo kufanya uone kama muda ni mrefu lakini hatuna hata sekunde wala dakika iliyoongezeka kwenye masaa ya siku, Hivyo kuepukana na maumivu ni lazima ujue kuwa kuondoa maumivu ya mtu unaye mpenda ni kitu kitakachochuka muda mhivyo usiwe na haraka ya kutaka kuto maumivu hayo kwakua utakapo fanya haraka utajirazimisha kusahau kitu ambacho kina madhara makubwa kisaikolojia 

    2 USISHINDANE NA HISIA ZAKO

    Unachikihisi ndani yako ni cha kawaida na usijaribu kushindana na unachokihisi ndani yako maana ni kitu cha kawaida kwenye kipindi hiki kigumu, kama una hisia za upweke au kudhalaulika usishindane na hisia hizo ila jaribu kuchukulia kama ni jambo la mpoto na lotapita
    Usihofie kulia Kulia ni moja kati ya hisia za karibu zaidi zitakazo kuja kwenye kipindi hiki usisite kulia kwau itasaidia kuondokana na mawzo mabaya ndani yako
    3. JARIBU KUJIWEKA MBALI NA MAMBO AU VITU VITAKAVYOKUUMIZA ZAIDI

    Kama ilivyoelezwa hapo juu kuwa mazoea huwa ni moja kati ya maadui wakubwa sana na mazoea hujengwa kutokana na vitu ambavyo mulizoea kufanya na mpenzi wako aliyepita sasa ili usisizidi kujiumiza  hisia zako jaribu sana kuwa mbali na vitu ambavyo ukiviona unamkubuka  mpenzi wako aliyepita jaribu hata kubadilisha ratiba ya siku kama ulizoea kuonana nae kwa muda wa mchana jaribu kubadilia ratiba yako mchana au siku ili usifanye jambo ambalo linaweza kukufanya uhisi kama una muhitaji mpenzi wako, kama mulikuwa munashirikiana vitu vingi basi jaribu kuweka mbali hata picha zake na baadhi ya vitu ambavyo vilikuwa winakukumbusha kuhusu yeye ili uupe ubungo wako nafasi ya kufanya mambo mapya

    4. FANYA MAMBO AMBAYO YANAKUFURAHISHA ZAIDI
    ''kama uliweza kuishi bila yeye mwanzo utashindwaje kuishi bila yeye sasa''


    Baada kutoka kwenye kujiweka mabali na mambo ambayo yanaweza kukuumiza sana moyo wako kwa kumbuka mpezni wako jitahidi sasa kufanya mabo au  jambo almabo linakufanya uwe na furaha zaidi kkwakua tunatambua kuwa akilia ya mwandamu huwa inajenga tabia kutpkana na mazoea sasa unapozoea kufanya jambo ambalo unalipenda utajiona kuwa mpya na mweye dhamani zaidi kuliko watu wengine hivyo jitaidi sana kuwa mtu mwenye kufanya yenye furaha japo hatua hii itakuhitaji kuifanya baada ya kukamilisha hatua tatu zilizo pita maan hii ni moja kati ya njia mabazo zinakufanya urudi kwenye hali ya kawaida


    5. KUBALIANA NA HALI HALISI (FURAHIA MAISHA NA WATU ULIONAO)

    Bila ya kukubali mwisho wa mahusiano amini nikuambilalo kuwa hataweza kufanikiwa kuacha kufikilia mwenzi wako aliyepita kwakua ukikubaliana na matokeoa hata moyo na mawazo yako yote yatakuwa yamekubaliana na ukweli pengine hatua hii itachukua muda mrefua zaidi kukubaika na wengi kwakua wanaamini zaid katika mazoea lakini mazoea hayo uliyajenga na yanaweza kuisha bila tabu kama ukiamua ( KUMOVE ON) maaan maisha ni lazima yaendele ndugu yangu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.